Uko wapi mama yangu?? Mzee amedanja juzi juzi hapa,, daah maisha yangu ya geography yalikuwaga kitonga sana!! Halafu baada ya kifo chake ndiyo nikajua kumbe alikuwa lecturer pale Mzumbe main campus..

mkuu smartphone ni smartphone na kiswaswadu ni kiswaswadu,, mie nimekuambia ubadilishe hicho kinachoonekana hapo siyo hiyo uliyotumia kuingia nayo JF namna gani vipi bob??