Nipo shousssssssss ♥️♥️😘Namba Yangu mbona ipo hewani shoss wewe mtu wapili kunambia ivo ukute madogo walichezea simu wakabinyeza visivyobonyezwa shosss ngoja nikucheki wtsup!!!Yaan mda otee nakuitaaa shougaaa akee hutokei, afu na no ako umeifanyaje wee? Mbna inachanganya sanaa???
Shougaaaaa kabla ya yote nenda kwenye uzi wa yoga afu ukitoka kulee njoop utetemeshe uzi.
Kule kuna bonge la kituu, nenda kasomeee kwan, maana nimekuita kulee hadi nimchokaaa.
Mixxoh u swizzyy [emoji254][emoji254][emoji254][emoji254][emoji254]
Sinaga mbambambaa kabisa miee stay tuned tuutendee uzi haki buana😍😍!!Umetuamlia Leo ulikuwa chimbo
Assssaaaaaaanteeeehhhh 💃💃😘♥️🥰🥰🥰🥰🥰!!Bora umekuja mamalao tulipoa sana bila uwepo wako! Karibuuuuu sanaa Bosi ledi!!
Nasi Tunakupenda sana mamaa[emoji3531][emoji3531][emoji3531]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! Mama Mambo yake tumuachie mwenyewe kubwa lao hatabiriki kabisa yule!!Antonnia umepigwa na kitu kizito kichwani Mama samia jambo lenu kawaambia mpka mwezi wa 11[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Nimekuona umeshika mkasiYoooooh weekend
Lenie samaki amka
myoyambendi morning jiranii
Morning to y’all [emoji2101]
Muwe na weekend njema mazee [emoji1635]
Helloowww babe!!
HBD RumaiyaAhsante sana bro..barikiwa
Mkasi gani tena?Nimekuona umeshika mkasi
Duh wewe ni Li zuri
🙃🙃🙃!!😉😉
Ahsante wige.
Umpe tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]chizi wee
Nakusalimia Wige ✋!Umpe tu
Ile kitu roho inataka