Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

🤗🤗🤗
AsAWx.jpeg
 
Mkuu labda kama ulipita siku ya nyota yako.

Gairo - pandambili hakuna askari
Pandambili - kibaigwa utawakuta askari kibaigwa
Kibaigwa - Narco utawakuta askari Mtanana au pale juu ukishanyanyuka kilima cha kutokea njia panda ya Narco
Narco-mbande utawakuta pale getini, check point
Mbande - chamwino, utawakuta chinangali II au sehemu za karibu, huwa wanahama
Chamwino - Mjini utawakuta jirani na mtumba, sehemu moja inaitwa kikombo.
Baada ya hapo ni wale wa ihumwa ambao mara nyingi hawana madhara.

NB: Kuna siku nzuri, unapata askari kwenye point moja tuu out of zote hizo. Ila all in all hizo ndio point huwa wanakaa. Ila hapo tochi huwa ni point moja tuu, hawa wengine ni kuovertake kwenye mstari, ukaguzi au aamue tu kukuvizia kwa machale.
😁 Wale wa Narco-Mbande wanangu sana.. hiyo njia natembea sana na huwa ni mwendo wa escort tu. sijabahatika hata kupigwa huo mkono . kipande kibaya kwangu ni Dar to Moro na kutoka Dodoma to singida.. ila Moro to Dodo huenda na nyota nacho sijawa hata simamishwa na popote huko ni 180-250kmh.. kuna siku hadi nikasema leo napigwa mkono baada ya kutoka tabu hotel nipo kama na 200 alafu nime overtake.. ila jamaa walaaa na baada mda nikarudi nikawakuta nikapunga mkono basi
 
Back
Top Bottom