Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Dah!..Huyu mama nimemuona kwenye movie gani sijui Ike
I'm shocked
Screenshot_20220721-183020.jpg

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Hiki kipande kipo Moro au Dom maana sio poa kutoka gairo kuitafuta Moro au Dom

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Nikifika Gairo huwa nahesabu tayari nipo dom.. hicho kipande hakina trafic hadi unaingia dodoma zaidi ya pale kwenye kizuio 😁😁 hapa kuna barid kali mashuka blanket kama yamelokwa kwenye maji
 
Nikifika Gairo huwa nahesabu tayari nipo dom.. hicho kipande hakina trafic hadi unaingia dodoma zaidi ya pale kwenye kizuio hapa kuna barid kali mashuka blanket kama yamelokwa kwenye maji
Mkuu labda kama ulipita siku ya nyota yako.

Gairo - pandambili hakuna askari
Pandambili - kibaigwa utawakuta askari kibaigwa
Kibaigwa - Narco utawakuta askari Mtanana au pale juu ukishanyanyuka kilima cha kutokea njia panda ya Narco
Narco-mbande utawakuta pale getini, check point
Mbande - chamwino, utawakuta chinangali II au sehemu za karibu, huwa wanahama
Chamwino - Mjini utawakuta jirani na mtumba, sehemu moja inaitwa kikombo.
Baada ya hapo ni wale wa ihumwa ambao mara nyingi hawana madhara.

NB: Kuna siku nzuri, unapata askari kwenye point moja tuu out of zote hizo. Ila all in all hizo ndio point huwa wanakaa. Ila hapo tochi huwa ni point moja tuu, hawa wengine ni kuovertake kwenye mstari, ukaguzi au aamue tu kukuvizia kwa machale.
 
Wewe ni davoo wa Kimbinyiko ama 🤣 sio kwa kukariri hivyo
 
Back
Top Bottom