Chevening kipo Uingereza huko
kinanatoa tuzo za kusoma nchini Uingereza kwa mwaka mmoja kwenye kozi ya shahada ya uzamili inayofadhiliwa kikamilifu.
Kuna manufaa mengi ya kuchaguliwa, ikiwa ni pamoja na ada za masomo zinazofadhiliwa kikamilifu, ufikiaji wa baadhi ya elimu bora zaidi duniani, fursa za kipekee za mitandao, na nafasi ya kuchunguza utamaduni mbalimbali wa Uingereza.
Kuna mtu namfahamu amesoma hapo na huwa anasaidia watu kuapply na ushauri maana si mchezo kupata . Alisema alipewa hadi nguo za kuvaa wakati wa baridi . Unaweza pata usikate tamaa huyu alipata fully funded .