Selfika na JF: Snap it. Show it

Field miezi 4 how? Si inakua 2 months, July had November, in a maana hakuna likizo???
 
Field miezi 4 how? Si inakua 2 months, July had November, in a maana hakuna likizo???
Yaani kwa course nyingine kama hr , accounts , Bba na wengine hao hawaendi field wakiwa second year .

Wakati wa likizo wanapumzika ile wanavyoingia third year semester ya kwanza ndo wanaenda field semester yote .

Mzumbe pale tumesoma miaka miwili na robo
 
khaaaah mbna hapa utraaamu tyuuh. Hii iko vyedi mnooo.
 
Field yangu haina hela, ila wafanya kazi wao huwa wakarimu, wana ni boost sana, kila nilipoenda, sijui hii ya mwaka huu itakuaje.
Ooh wana roho nzuri aisee , watakupa tu

Nilifanyaga field serikali ya mtaa aisee
Walikuwa wana roho nzuri sana ..
Tukipata hela mwisho wa siku tunagawana
Unarudi na visenti nyumbani halafu kazi haichoshi full raha na vicheko
 
Yaan nashukuru wawe na moyo km sehemu zingne nilizoipita, nilifaidi sanaaa.
 
Ooh wana roho nzuri aisee , watakupa tu

Nilifanyaga field serikali ya mtaa aisee
Walikuwa wana roho nzuri sana ..
Tukipata hela mwisho wa siku tunagawana
Unarudi na visenti nyumbani halafu kazi haichoshi full raha na vicheko
Them good old days πŸ˜‹
Kutwa kuwapa barua za utambulisho kwa njia ya Short cut,, lazima utolewe salio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…