Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna binti mmoja ofisi flani zikianzan hizo stori za michakato' kila dakika anaenda washroom, mpaka unamuonea huruma...
Kila jambo na wakati.
Na nyie mnaweka mikono yenu hapo mbele ya suruali zenyu na kuiweka sawaaa itulie πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†!!
 
Wee Dogo ndo utufokee kisa ni mnyakiii? Na huyo wizoo unae ongea nae kwa cm, muambie tunataka mashangazi sie, hayupo kwa kujaza choo tyuuh.

Hahaha halafu sio mnyaki sasa πŸ˜…[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wizo nimechachukaaa.
 
3:41 AM?? 😁😁 Ndiyo ulikuwa umemaliza kupewa nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…