Noma, ila sawa tu kila watu wana mambo yao mabaya na mazuri. Sema huyu Surbi aache kusema eti hatujui mapenzi, hata kama wabahili ili kunjunjana na malove tunajua bwana, labda alikutana na mpare wa hovyo hovyo
Maria Nyerere si ndio zilikuwa hostrm mpya mpya na jirani yake Nyirenda kwa wanaume. Sema bora kule kuliko ulikoenda kupanga.Sio vikenge mule ndani hapana ni kule njiani ukitoka sanga sanga baada ya kituo cha osterbay kinachofuata ni Vikenge .
Vikenge vya mule ndani sio poa vidogo mno
Mimi sikupenda kukaa Maria nyerere maana ni mbali aisee kama upo off campus
Yeah wamejenga new campus huko panaitwa maekani .. pazuri sema pana mwendo toka pale .
@Mjep njoo uselfike boss kubwaNyie wakaka wahumu selfikeni nanyie khaah! Wabahili hadi selfii tu?? Vocha mnajifanya hamuoni maombi Ila selfii tukiweka mnaziona!
Mmenishinda tabia Hakyanani tena!!
Kwazile komenti ileeee siku kuleee seems uko gudoo mwenye kubwa yake 😆😆😆!!🏃🏃🏃Noma, ila sawa tu kila watu wana mambo yao mabaya na mazuri. Sema huyu Surbi aache kusema eti hatujui mapenzi, hata kama wabahili ili kunjunjana na malove tunajua bwana, labda alikutana na mpare wa hovyo hovyo
Sawasawa mkuu...Noma, ila sawa tu kila watu wana mambo yao mabaya na mazuri. Sema huyu Surbi aache kusema eti hatujui mapenzi, hata kama wabahili ili kunjunjana na malove tunajua bwana, labda alikutana na mpare wa hovyo hovyo
😂 😂 😂Cravings
Jirani unataka kuamsha minyooo
Hahah, una vituko sana wewe. Mimi sina kubwa yake, niko na "ladies' finger" yangu hapa sina wasiwasi.!
Kumbe naeewe wahuko kaka!!??
Habari za siku nyingi kaka mwenye kubwa yake!!
Miss you like crazy bro!!
Yeah ndo hapoMaria Nyerere si ndio zilikuwa hostrm mpya mpya na jirani yake Nyirenda kwa wanaume. Sema bora kule kuliko ulikoenda kupanga.
Hapo na mkate wa peanut na yai
Jamaa aside bahili kabisa, kwa hili zigo hata sie tunaweka ubahili pembeniNiingie Barabarani kusaka tonge ndugu zangu
Huyo ndio kabisaaa kanipotezea pamoja na jana kumtag kabisa kuwa mb Zangu zinapumulia mashine anisaidie Bando!😏😏😉😉@Mjep njoo uselfike boss kubwa
Ila sisi sifa yetu kuu ni ubahili, mimi niko proud kabisa kuitwa mbahili. Kutoa ovyo ni dhambi, hata Mungu kakatazaHahaha watu hawafanani
Sio wote mpo hivyo
Hapo sasa kwenye kujua mapenzi
Muwafundishe hiki kizazi kipya jamani
Wala huoti jirani. fungua kabati , weka vitu mezani, Jiko la gas liko hapo, chapchap mambo mezani...Hapo na mkate wa peanut na yai
Hebu niache kuota nikale mihogo sasa
Weka namba ya simu utumiwe vocha, usilielie...ukiweka namba ya simu vocha utapata..wengine pesa zipo kwa wallet ya simu..haha!Nyie wakaka wahumu selfikeni nanyie khaah! Wabahili hadi selfii tu?? Vocha mnajifanya hamuoni maombi Ila selfii tukiweka mnaziona!
Mmenishinda tabia Hakyanani tena!!
Mnabagua wa kuwapa vocha zenu na kuwawezesha mabando humu nyie endeleeni na ubestilization tu!!Jamaa aside bahili kabisa, kwa hili zigo hata sie tunaweka ubahili pembeni
Nataka vocha mie namba zanini sasa we Mandingo nawee!!Weka namba ya simu utumiwe vocha, usilielie...ukiweka namba ya simu vocha utapata..wengine pesa zipo kwa wallet ya simu..haha!
Huyo ndio kabisaaa kanipotezea pamoja na jana kumtag kabisa kuwa mb Zangu zinapumulia mashine anisaidie Bando!
Mmapeana vocha zenu kindugu humu!!
Ngoja nikapambane kwanza niache kuomba omba vocha zenu humu!
Kweli mkuu...Weka namba ya simu utumiwe vocha, usilielie...ukiweka namba ya simu vocha utapata..wengine pesa zipo kwa wallet ya simu..haha!
HahahaIla sisi sifa yetu kuu ni ubahili, mimi niko proud kabisa kuitwa mbahili. Kutoa ovyo ni dhambi, hata Mungu kakataza
Huko sijafika hiyo stage
Alumn ndio nini
Nipo huku beginerz english kozi