Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jul 20, 2022 #242,621 myoyambendi said: Jiraniii..... Natumaini hujambo. Click to expand... Salama jirani vipi wewe Habari ya asubuhi
myoyambendi said: Jiraniii..... Natumaini hujambo. Click to expand... Salama jirani vipi wewe Habari ya asubuhi
M Mjep JF-Expert Member Joined Oct 28, 2014 Posts 11,721 Reaction score 34,880 Jul 20, 2022 #242,622 Mshana Jr said: Ndio naamka Click to expand... Kiringe kiko salama lakini mkuu?
B I N A M U JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 1,495 Reaction score 2,403 Jul 20, 2022 #242,623 Mbeya is my hood Mjep said: Mbeya Boy Umetisha sana chief Click to expand...
M Mjep JF-Expert Member Joined Oct 28, 2014 Posts 11,721 Reaction score 34,880 Jul 20, 2022 #242,624 B I N A M U said: Mbeya is my hood Click to expand... Saint Anne Umemsajiri Binamu kweli kwenye lile chama letu? Kama hajapata usajiri wahi hapa utoe usajiri chap
B I N A M U said: Mbeya is my hood Click to expand... Saint Anne Umemsajiri Binamu kweli kwenye lile chama letu? Kama hajapata usajiri wahi hapa utoe usajiri chap
S Silikwako JF-Expert Member Joined Apr 10, 2020 Posts 1,574 Reaction score 3,600 Jul 20, 2022 #242,625 Tinsley said: Haya View attachment 2297395 Click to expand... Toa emoji dada mzuri!
M Mjep JF-Expert Member Joined Oct 28, 2014 Posts 11,721 Reaction score 34,880 Jul 20, 2022 #242,626 Tinsley said: Haya View attachment 2297395 Click to expand... Mrembo wetu wa Mzumbe😍😍😍 Nani kasema mzumbe hakuna vyombo?? Atakua katogwa huyo Ahsante madam😘
Tinsley said: Haya View attachment 2297395 Click to expand... Mrembo wetu wa Mzumbe😍😍😍 Nani kasema mzumbe hakuna vyombo?? Atakua katogwa huyo Ahsante madam😘
tamsana Platinum Member Joined Jan 13, 2012 Posts 3,831 Reaction score 8,247 Jul 20, 2022 #242,627 Mjep said: Mrembo wetu wa Mzumbe😍😍😍 Nani kasema mzumbe hakuna vyombo?? Atakua katogwa huyo Ahsante madam😘 Click to expand... Usikute mzumbe ulikuwa rafiki yangu Tinsley
Mjep said: Mrembo wetu wa Mzumbe😍😍😍 Nani kasema mzumbe hakuna vyombo?? Atakua katogwa huyo Ahsante madam😘 Click to expand... Usikute mzumbe ulikuwa rafiki yangu Tinsley
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jul 20, 2022 #242,628 Surbi said: Toa emoji dada mzuri! Click to expand... Eeh yaani hapo nimekodoa macho Mtakimbia
S Silikwako JF-Expert Member Joined Apr 10, 2020 Posts 1,574 Reaction score 3,600 Jul 20, 2022 #242,629 Tinsley said: Haya View attachment 2297395 Click to expand... Weka na ya full dada mzuri bathi !!
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jul 20, 2022 #242,630 Mjep said: Mrembo wetu wa Mzumbe Nani kasema mzumbe hakuna vyombo?? Atakua katogwa huyo Ahsante madam Click to expand... Asante best Japo nishaondoka huko nipo zangu huku nashangaa jiji .. siku ziende
Mjep said: Mrembo wetu wa Mzumbe Nani kasema mzumbe hakuna vyombo?? Atakua katogwa huyo Ahsante madam Click to expand... Asante best Japo nishaondoka huko nipo zangu huku nashangaa jiji .. siku ziende
S Silikwako JF-Expert Member Joined Apr 10, 2020 Posts 1,574 Reaction score 3,600 Jul 20, 2022 #242,631 Tinsley said: Eeh yaani hapo nimekodoa macho Mtakimbia Click to expand... Tuone Ivoivo dada mzuri!!
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jul 20, 2022 #242,632 tamsana said: Usikute mzumbe ulikuwa rafiki yangu Tinsley Click to expand... Weh usiniambie Ila mimi nilikuwa mtu wa ghetto sana huko Nikirudi toka venue huyo kupika
tamsana said: Usikute mzumbe ulikuwa rafiki yangu Tinsley Click to expand... Weh usiniambie Ila mimi nilikuwa mtu wa ghetto sana huko Nikirudi toka venue huyo kupika
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jul 20, 2022 #242,633 Surbi said: Weka na ya full dada mzuri bathi !! Click to expand... Mmh ninayo basi huwa naonaga shida posing for a camera . Hadi itokee nilazimishwe na bff wangu
Surbi said: Weka na ya full dada mzuri bathi !! Click to expand... Mmh ninayo basi huwa naonaga shida posing for a camera . Hadi itokee nilazimishwe na bff wangu
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,792 Reaction score 721,062 Jul 20, 2022 #242,634 Tinsley said: Salama jirani vipi wewe Habari ya asubuhi Click to expand... Baridi kwetu jirani. Ila salama.
Tinsley said: Salama jirani vipi wewe Habari ya asubuhi Click to expand... Baridi kwetu jirani. Ila salama.
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jul 20, 2022 #242,635 Surbi said: Tuone Ivoivo dada mzuri!! Click to expand... Mida yetu ya kujilipua nitaweka
tamsana Platinum Member Joined Jan 13, 2012 Posts 3,831 Reaction score 8,247 Jul 20, 2022 #242,636 Tinsley said: Weh usiniambie Ila mimi nilikuwa mtu wa ghetto sana huko Nikirudi toka venue huyo kupika Click to expand... Ulikuwa kingo au
Tinsley said: Weh usiniambie Ila mimi nilikuwa mtu wa ghetto sana huko Nikirudi toka venue huyo kupika Click to expand... Ulikuwa kingo au
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jul 20, 2022 #242,637 myoyambendi said: Baridi kwetu jirani. Ila salama. Click to expand... Eeh poleni huko Halishuki tu huko Huku salama tu jirani
myoyambendi said: Baridi kwetu jirani. Ila salama. Click to expand... Eeh poleni huko Halishuki tu huko Huku salama tu jirani
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,792 Reaction score 721,062 Jul 20, 2022 #242,638 Tinsley said: Eeh poleni huko Halishuki tu huko Huku salama tu jirani Click to expand... Hali ni tete huku.. Tunaenda nayo hivyohivyo..
Tinsley said: Eeh poleni huko Halishuki tu huko Huku salama tu jirani Click to expand... Hali ni tete huku.. Tunaenda nayo hivyohivyo..
S Silikwako JF-Expert Member Joined Apr 10, 2020 Posts 1,574 Reaction score 3,600 Jul 20, 2022 #242,639 Tinsley said: Mmh ninayo basi huwa naonaga shida posing for a camera . Hadi itokee nilazimishwe na bff wangu Click to expand... Aiseeehhh!! Bff wa dada Tins fanya yako dada ajilipue bathii!!
Tinsley said: Mmh ninayo basi huwa naonaga shida posing for a camera . Hadi itokee nilazimishwe na bff wangu Click to expand... Aiseeehhh!! Bff wa dada Tins fanya yako dada ajilipue bathii!!
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jul 20, 2022 #242,640 tamsana said: Ulikuwa kingo au Click to expand... Yeah nimekaa first year hapo eeh Zamani lilikuwa la wavulana eeh Staggered semester nilikaa Matola Second year hadi mwisho nikaa nje huko Kilimahewa aisee nilijuta
tamsana said: Ulikuwa kingo au Click to expand... Yeah nimekaa first year hapo eeh Zamani lilikuwa la wavulana eeh Staggered semester nilikaa Matola Second year hadi mwisho nikaa nje huko Kilimahewa aisee nilijuta