MUHAS kuna wanaume bhana, yaan wakivaa makoti yao.Wakaka wa MUHAS ni hatariiiiii [emoji3544] yaani mfano tu ukiwa pale hospitali wale wanaofanya field na makoti yao daah [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
MUHAS mchezoooo?? .Nyie watoto [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usiombe kukutwa[emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila mkorogo ukidunda ndyo jau sasa
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji16]najua tuuMlongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] namchachua tyuuh huyooo.
Wala hakna ukweliiii.
[emoji38][emoji38][emoji16][emoji28][emoji28][emoji133][emoji126]kabisaaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] siku hizi uzuri unategemea na simu unayotumia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji16]najua tuu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Afu SUA ukichunguza sana watu wakigoma na mbeya ni wengi mno
Hata sisi NIT makoti yetu ya garage yanawavutia sanaMUHAS kuna wanaume bhana, yaan wakivaa makoti yao.
Awwwwwwww!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora COET UD au DIT.Hata sisi NIT makoti yetu ya garage yanawavutia sana
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Ngoja nitafute koti langu la buchani nipite pite mitaa hyo ya muhas [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakaka wa MUHAS ni hatariiiiii [emoji3544] yaani mfano tu ukiwa pale hospitali wale wanaofanya field na makoti yao daah [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Nitakuwa nakusubir hapo kona ya MuhimbiliNgoja nitafute koti langu la buchani nipite pite mitaa hyo ya muhas [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Oyaa ehhh wanangu wa NIT mnamuona mtoto wa UD huyu anatuita sisi VETA [emoji378][emoji378][emoji379][emoji379] boykaaaaa njoo hapa ujibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora COET UD au DIT.
NIT si VETA iliyochangamka. Khaaaah
Unaweza jogging ww binti lknNitakuwa nakusubir hapo kona ya Muhimbili
Tuende jogging
Can’t guess just temme who’s that 🤣MUHAS mchezoooo?? .
Some1 unjanja wake wote, hiyo siku alilia kisa kuambiwa "mie na wee naona hapa ndo mwisho wetu" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] suggest who'z 1???
Hatareeeeeh.
Haha nitalia aisee bado ndo nataka nijifunzeUnaweza jogging ww binti lkn
Mambo baadae ya kusema nibebe mm siwez mm napiga mabio marefu full ugaigai masinondo, madesa kama yote
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa NIT Nako kuna wanaume wa kueleweka? Seriously?? Hapanaaaaa.Oyaa ehhh wanangu wa NIT mnamuona mtoto wa UD huyu anatuita sisi VETA [emoji378][emoji378][emoji379][emoji379] boykaaaaa njoo hapa ujibu
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chitakiiiiiiih.Can’t guess just temme who’s that [emoji1787]
Hahahh usijal kikubwa Uwe mhudhuriaji mzuri tuHaha nitalia aisee bado ndo nataka nijifunze
Kumbe upo vyedi kwa suala hilo.
Tutaenda mdogomdogo hatushindani bhana ..
Okay ndugu
TIA je ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa NIT Nako kuna wanaume wa kueleweka? Seriously?? Hapanaaaaa.