Sema sshv ndyo mmebebwa tu na TCU Zaman wasomi kweli kweli UD Ila pisi kali zilikuwa huko college Hongereni bana pisi za UD zinamsemo wao UKIDATE NA pisi ya UD lazima Uwe na gari
Ila mmegundua watu wanapenda Sana weupe mnoo...mkipiga picha utaskia weka filtaaa,Mimi Sasa nilivyo ndo hvyo hvyo kwanza snaap waliweka mabinti zangu miye najioneaga tabu.
Unaambiwa siku hizi natural iachie misitu,mwanamke weupee
class kwetu pisi kali yaan kareee ilikua n moja tu. Dada mweupee and vere classic/smart π π π π π yaan akikatiza infront of yu, unaeza tamani mbingu ipasuke uingie
class kwetu pisi kali yaan kareee ilikua n moja tu. Dada mweupee and vere classic/smart π π π π π yaan akikuatiza infront of yu, unaeza gaman mbingu ipasuke uingie