Ukiona hvyo yeye aliunga Cha mwezi Hana access nyie 'unga unga mwana'mnainjoi tu,habari hampati,yeye nafsi inamchoma hanufaiki nao,kachoma ili mkose woteKaniboa sana Jana nimejilia zangu free Internet la TTCL kumbe Kuna kijana wa hovyo kaenda kuchomoa betri
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Ila mmegundua watu wanapenda Sana weupe mnoo...mkipiga picha utaskia weka filtaaa,Mimi Sasa nilivyo ndo hvyo hvyo kwanza snaap waliweka mabinti zangu miye najioneaga tabu.Kuna binti tulisoma o level naye alikuwa cheus mangara tiiiii huyo kafika chuo tu kawa nick Minaj
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Iheshimu UD tafadhari?? Hiki ni chuo, sio taasisi ya Elimu ya juu. Ukiiongelea UD, Inatakiwa utoe heshima na pongezi.Sasa UD si ndyo pisi zenyewe zipo hapo Zaman pisi zilikuwa CBE, IFM
Baada ya TCU kufanya mambo Yao yani CBE, IFM unakuta paka pisi inatoka namtumbo huko
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Mbagala rangi 3 ,ngozi inafubaaa anatishaaAtakuwa mwekundu/mweusi/mweupe at once
Ebooo watoto wa UD jamanIheshimu UD tafadhari?? Hiki ni chuo, sio taasisi ya Elimu ya juu. Ukiiongelea UD, Inatakiwa utoe heshima na pongezi.
Pisi za UD ni karee, afu classic. Mie muongo???
Ila mmegundua watu wanapenda Sana weupe mnoo...mkipiga picha utaskia weka filtaaa,Mimi Sasa nilivyo ndo hvyo hvyo kwanza snaap waliweka mabinti zangu miye najioneaga tabu.
Unaambiwa siku hizi natural iachie misitu,mwanamke weupee
Sasa IFM na CBE ufananishe na UD? Serious??
Ila mmegundua watu wanapenda Sana weupe mnoo...mkipiga picha utaskia weka filtaaa,Mimi Sasa nilivyo ndo hvyo hvyo kwanza snaap waliweka mabinti zangu miye najioneaga tabu.
Unaambiwa siku hizi natural iachie misitu,mwanamke weupee
Za kawaida tu bwana...!!watu wa UD jamaniIheshimu UD tafadhari?? Hiki ni chuo, sio taasisi ya Elimu ya juu. Ukiiongelea UD, Inatakiwa utoe heshima na pongezi.
Pisi za UD ni karee, afu classic. Mie muongo???
Sema sshv ndyo mmebebwa tu na TCU Zaman wasomi kweli kweli UD Ila pisi kali zilikuwa huko college Hongereni bana pisi za UD zinamsemo wao UKIDATE NA pisi ya UD lazima Uwe na gariSasa IFM na CBE ufananishe na UD? Serious??
Hebu usitushushe hivyooo, tulishavuka zamani huko.
Pisi ya UD 1 yr inakuja na tranka Ila kiboko ya yote zoazoa UDOM huko ni mwisho wa dunia hakika kile ni chuo cha kataZa kawaida tu bwana...!!watu wa UD jamani
Nakuona kabisaPisi ya UD 1 yr inakuja na tranka Ila kiboko ya yote zoazoa UDOM huko ni mwisho wa dunia hakika kile ni chuo cha kata
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
MlongoZa kawaida tu bwana...!!watu wa UD jamani