Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,034
- 6,038
Uliwekaga hii siku za nyuma
Hahahaaa nikahisi mie pekeangu ndio nimeifanaisha kumbe bado sijazeeka kiivo!!Uliwekaga hii siku za nyuma
Nmeikumbuka
Safiii 🥰 ila umekata sana, weka ya uchebe basi 🙈
Bado MadamHahahaaa nikahisi mie pekeangu ndio nimeifanaisha kumbe bado sijazeeka!!

Selfika basi, tall dark manNa hatujali
Asante dia mie nina kumbukumbu sana!!Bado Madam
Una sharp memory na mzuri huyo![]()
Vizuri sana kuwa hivyoAsante dia mie nina kumbukumbu sana!!
🤣🤣Mmemaliza habari za ex au bado???
Haya wekeni picha sasa!
Acha tu jirani!! 🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂
Wee si nimekuwekea selfii nyingine hapohapo bando likakata !!!🤣🤣🤣🤣
Yan nazisubiria
Babe aninunulie
Arsenal kwenye jersey hakosei![]()




Adidas ni nyokoooo, hata kwa Real Madrid wanatoa kits ya kibabee.Talk to me....