Hamna mtu wangu wa nguvu.. nilikuwa nataka tu kukuchanganya SI unajua wakati mwingine nakuja hapa kutua stress zangu .. nakuwa opposite na Kila jambo.. kuachana SI jambo zuri napenda watu wakianzisha kitu Hadi wazikane..
Kuna Ile, ni mnakuwa wapenzi, marafiki, washakaji, wana, masela na hata business partner Kwa wakati mmoja, watu wa hivi utakuta wameachana ila still wapo pamoja na furaha na amani kama zote..
Kuna Ile, ni mnakuwa wapenzi, marafiki, washakaji, wana, masela na hata business partner Kwa wakati mmoja, watu wa hivi utakuta wameachana ila still wapo pamoja na furaha na amani kama zote..
Basi nilikuwa namchangamsha cocastic mtu wangu wa nguvu.. Sipendi kabisa watu waachane na Huwa naumia sana kuona watu wana achana.. Huwa napatwa sana na huzuni kuachana SI jambo zuri