Ngoja nkuhadisie siku rock city mall imefunguliwa kipind hicho bado nasoma o level naish kwa bimkubwa... Mama akanipa ka elf 50 nikafanye shopping ya vipodozi....... Nkadandia boda huyo nkazama ndani...... Nlivyonunua nunua vi shower gel sijui lotion nkachukua na ice cream nkatoka..... Ehhh kuangalia najiona nip geti jingine nkampgia mama nlichekwa sana nyumbani hyo siku.... Ikabid niwaulize Askari ndo kunielekeza njia