Najua ulichomaanisha boss Wala usiwe na shaka..Ni vile tu napenda kufurahi na uwasikishaji wako wa hoja ukanichekesha[emoji23][emoji23]
Haswaa.basi kumbukumbu zangu viko vizuri sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lakini ungekuwa ushasafisha nyota[emoji23]
Tena ungepata na connection jeshini[emoji1787]
Ni wapi huko? Moshi? Hivi unafikiri kwako unafikiri kuna mtu anaweza asije?. Ni wapi mkuu? Nije wiki ijayoUnataka ukuje lini eti jamani
Mademu wengi wa Jf ni walevi tupu... kuna jamaa mmoja nilikutana nae was Jf yule jamaa alipeleka mahali anapiga vyupa balaa kulewa halewi, nikalipa bili kimya kimya nikasepa.. sas naanza kuingia wasiwasi na mademu wa Jf
Nikikupata cha utamu milele nitafurahi
Nilivyokuwa nakufikiria ndivyo ulivyo
upcountry...
iliandikwa hivyo, kama hukuona
Kumbee!!Nilivyokuwa nakufikiria ndivyo ulivyo
Hahahaaa mi nikipole sana ujue
Kwanza siongeagi kabisa.
Jamani jamani 😍😍😍😍😍
Hahahaaa afu Mimi nawapanga mjue.Nifanyie connection boss na Mimi nije huko
Nyingine umezitoaDroo yangu Leo haina pesa View attachment 1255442
Pendeza sana
Hahahaaa kweliMmhh
Ulienda kilima nyege?