Machenza yana virutubisho ambayo yanaweza kutoa faida nyingi kwa afya yako. Zimejaa antioxidants, ambavyo vinaweza kusaidia kinga na kuboresha afya ya ubongo, ngozi na moyo.
Kikubwa ulimaliza tuWanakwambia msingi mtoto asome medium sec hata ukimpeleka serikal ni Sawa ndyo kilichonikuta mm hko primary st kayumba sec private niliona wananichanganyia files tu
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Haya ntakufundisha
Shukran dokta ubarikiwe sana mrembo wangu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] nimejifunza kitu na nimeelewaMachenza yana virutubisho ambayo yanaweza kutoa faida nyingi kwa afya yako. Zimejaa antioxidants, ambavyo vinaweza kusaidia kinga na kuboresha afya ya ubongo, ngozi na moyo.
Pia ina vitamin C ya kutosha .
[emoji8][emoji8][emoji8]Asante love asante Mami......
Oooh hapo sawaaah.Yeah Mbeya~Mbarali au wanasema bonde la Usangu
Ehh bana Ila mm mpka namaliza shule o level tu nimesoma secondary 8[emoji856]Kikubwa ulimaliza tu
Hayo yote yanakujenga wewe ukifika huko mbele .
Pole yote yamekwisha sasa
Matunda muhimu sana kwa afyaTatizo huwa najitahidi nikishaugua fizi[emoji23]
Nikipona tu hapa napoteana nayo.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Can't wait [emoji120][emoji120]Haya ntakufundisha
Ooh Asante kwa kushukuruShukran dokta ubarikiwe sana mrembo wangu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] nimejifunza kitu na nimeelewa
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwetu shughuri kuu ni kilimo, sahivi hapa kule kwetu ndo wanavuna mpunga,[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu huonekani kama unajua mambo ya kilimo hasa ushubwada kama Mpunga
Miwa ni tunda auOoh Asante kwa kushukuru
Matunda ni dàwa , tuyatumie vizuri
Unekuzaa dada, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Sio tunda wala mboga ni jamii fulani ya miti kama bamboo .. watu wanahisi ni tunda maana ni tamu .. haliwezi kuwa tunda maana halina mbegu .
Sawa dokta nazidi kujifunza hapa ubarikiwe sana na miwa inafaida ganiSio tunda wala mboga ni jamii fulani ya miti kama bamboo .. watu wanahisi ni tunda maana ni tamu .. haliwezi kuwa tunda maana halina mbegu .
Salama tuHabal zenu wandugu
View attachment 2293533
Tumshukuru mungu