Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nakosa Taarifa za nchi mjue? Emu fanyeni logistic bana

Samaki? Ni anasa 😁 mtasikia bakuli ina harufu ya tembele
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nakosa Taarifa za nchi mjue? Emu fanyeni logistic bana

Samaki? Ni anasa 😁 mtasikia bakuli ina harufu ya tembele
Taarifa za nchi utazipata huku jfπŸ˜ƒ

Hahaa tembele kwa afya, kazana kulilaπŸ˜‹πŸ˜…

Ni usingizii, ngoja nilale mie badae niamke nikaote jua 😁
 
Alinambia mpigie mjomba zxxx nikamwambia naomba namba yake πŸ˜‚πŸ˜‚

Si ndio akashangaa.. hata namba huna?
We unasalimiaga ndugu zako kweli

Mama aliongea hiyo siku 😁
Ila hawa mama zetu wa kiafrika sijui kibongo ni wanapenda kucomplicate mambo jamaniπŸ˜‚πŸ˜‚
Kitu kidogo ni watakikuza adi unajuta kwanini uliuliza.

Pole didi akeeeπŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…