Selfika na JF: Snap it. Show it

Daah aise sijasikia hiyo yaani ningekuwepo ningefurahi sana
 
Wacha wee kwahiyo mwenzetu quran yote ipo kichwani?? Sasa unasubiri nini kuolewa na Al Watan wetu jamani??
Nina Hadi mswaafu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Napenda kujifunza mambo mengi hasa kuhusu dini.
Bado haijakaa kichwani ila najitahidi kuiweka..na alhamdulilah najua kuandika siku hizi ile lugha Yao[emoji23][emoji23].
Mwanzo ilikuwa kasheshe kuandika toka kulia kwenda kushoto
 
Daah aise sijasikia hiyo yaani ningekuwepo ningefurahi sana
Ilikuwa mwezi uliopita nadhani.
Engine ilifeli...ilikuwa maeneo ya tabora..ikabidi irudi kutua dar Maana Dom hakuna uwanja unaoeleweka.

Utasikiaje Kama hauji kule siasani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]posta na mbezi tu?? Na ukizingatia zipo mwendokasi za mbezi to kivukoni au unaongelea mbezi beach??
Yaani mimi kutoka iwambi Hadi uyole tu Ni shughuli pevu.
Aliyeniroga kwenye safari alishakufa.

Naweza nikatoka hapa iwambi Hadi mwanjelwa narudi naumwa.
 
Not real...

Kuna vigezo vigezo muhimu, kama urefu, wingspan, afya, uwezo wa lugha n.k...

Unene unapunguzwa kwa mazoezi kama kwingine upo vizuri...

Huo uzuri unasema sijaona, hivi ushawahi ona wadada wa KQ wewe? au vile vimama vya KLM?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wanachukuaga wadada wazuri tu mkuu kisura na kiumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…