Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 13,005
- 27,083
AsanteNa wewe pia ulale salama kipenzi.
AsanteNa wewe pia ulale salama kipenzi.
Kitu cha Forester
Basi ngoja wifi yangu chirstine aje athibitishe kwanzaHuyu alikua mshenga/mpambe/mmwaga sera, sera zake hazikueleweka nikamiminwaaaaaa, nikamwagwaaaaaa nikagaragazwaaaaaaaaaa, nikatemwaaaaaaaa na mrembo mwenye umbo tata madam mkemia boss lady Antonnia 🏃🏃🏃
SawaUsiku mwema kwako pia mrembo
Ulale unono
Kuna uzi wa crush na wanawake kutongozaFinal [emoji3][emoji3]
Mzima wewe hope uko poa mr WigeHope wambea hawajaona
Ebu rudia
Eti umesema[emoji848]
Thanks dear[emoji173]
Mashallah 🥰😍Hii siku nilishaambiwa nijiandae mapema niende masjid,,
Imefika saa 5 mom ananipigia nakusubiri hapa nijie na nguo zangu[emoji35]
nilinuna coz sikutaka kwenda[emoji23]View attachment 2292154
Acha kurukarukaMadam hapa natafuta mwanasheria nikukabidhi kibanda changu cha mpesa na vocha sitaki utani, hivi humu ndani hakuna mwanasheria?? Christine1 atathibitisha huko mahakamani[emoji6]
Mie ntakuwezea wapi weyee! 🙌🙌🙌🙌🙌 kwa Amani Kabisa!!!!Huyu alikua mshenga/mpambe/mmwaga sera, sera zake hazikueleweka nikamiminwaaaaaa, nikamwagwaaaaaa nikagaragazwaaaaaaaaaa, nikatemwaaaaaaaa na mrembo mwenye umbo tata madam mkemia boss lady Antonnia 🏃🏃🏃
mtoto mzuri mawardat, selfika kuna pisi wallah..Hii siku nilishaambiwa nijiandae mapema niende masjid,,
Imefika saa 5 mom ananipigia nakusubiri hapa nijie na nguo zangu[emoji35]
nilinuna coz sikutaka kwenda[emoji23]View attachment 2292154
Hee kumbe sikujua upo jukwaa lipi nika kutag hukoo 🏃♀️Kuna uzi wa crush na wanawake kutongoza
Hadi sasa Melo anaongoza 10-0
Ebu kanitag uni crush na kuni aproach
Unajua damu zinaendana eeh
Fanya hivyo
Mkuu salama[emoji2321]Anyone in WAVUVI CAMP?
View attachment 2292151
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii mali fine kabisa.Kesho nayo ni siku wapendwa!!
Nikapumzishe fuvu langu sasa!!
Asubuhi utanikuta Real MadridEm ukwendeee.... Huyu ni wetu sie
Shepuuu 🙌😍Kesho nayo ni siku wapendwa!!
Nikapumzishe fuvu langu sasa!!
Humu napita pita kusafisha machoMkuu salama[emoji2321]
Karibu selfika ingawa nafahamu
Kuwa ni mdau humu[emoji1787]