Kwa unene gani 😤😤 afu unavyowekaga maemoj makubwa ujue sio vizuriDooh nimeangalia hizi picha ndiyo nikajiona kweli mimi ni mnene ninyi mnaosema mimi siyo mnene Mungu anawaona mjue[emoji16][emoji16]
Denvers unaipata hiyo chuma hapo nyuma??View attachment 1255181View attachment 1255182
Yaaniii wewe hunaga utani kabisaa jamani!!Hahahaa
Hivi sio wewe mama ake ulisema
Nakuwa too serious na nanichokisema jukwaani.I promised you to change
Hahahaaa nimebadilika na kufanya chit chat unataka uniogope.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ushagoo ndiyo wapi huko??
Duh..muda mrefu njiani..
Wewe tukisafiri wote nitakufia njiani..kadri ninavyozidi kukaa muda mrefu ndivyo Hali yangu huzidi kuwa mbaya.
Napandaga express , lkn nikiwa natoka Zambia nashuka makambako ,napendaga tu treni cz nakula bata
Yesu wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii ni kwa ajili ya wasafiri tu mama maana kusafiri siyo hobby ya kila mtu lakini mimi safari fupi sipendi,, nawaza kuenda kuomba ajira tazara niwe staff wa kwenye train ili niwe nasafiri karibu kila wiki..
Kwani wewe na karma Ni wadogo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi si mmeambiwa Zurri ni mtu mkubwa? Karma emu muacheni [emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo hiyo tupiaNinayo ya ushungi sasa
Sana bata refuYeah umeona eenh?? Bata kama lote!!
Kumbe alikufa MMoja maskini[emoji134][emoji24].
Ila waliofunga mikanda nadhani wengi walitoka salama...kasheshe ambao hawakufunga,lazima tu walijigonga vichwa.
Ile ajali ya wanajeshi naikumbuka vema Sana,Kuna binti namkumbuka[emoji24][emoji24]dah.
Hahahaaa!
Kazi za kizalendo izi
Dollari zitoke wapi boss
Kwa unene gani [emoji36][emoji36] afu unavyowekaga maemoj makubwa ujue sio vizuri
Mi namwachia achague ye mwenyewe....Wengi, the competition is real.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kanawe uso kwanza!
Ushagoo ndiyo wapi huko??
Ajali Haina sehemu maalum.Yaani ni shida kwa kweli
Daah ile ajali ilinisikitisha sana niliwaza mengi sana na nilikosa amani karibu wiki nzima yaani niliwaza kwanza walivyotoka huko kote salama ila wakaja kufia mwisho wa safari wameshakaribia stand kabisa daah
Kwani uongo?[emoji15][emoji15]weee usiniambie