My dear mzungu is mzungu, na ni ngumu sana mbongo kubehave like mzungu for 90 percent.
Mbongo atataka hata ampandie kobe amuendeshe
(nimeona hapo 2nd screenshot..
Pako crowded mie sishangai, si unatujua watz tukisikia kaeneo kapya? Wenyewe ndio tunaita pako na vibe
Mf nina sister anakwambia Magoroto is not a natural forest, hawezi kwenda. Pia anasema pameendwa na watu wengi.. hiyo kwake imepunguza credit β kanitajiq sehemu flani iko Moshi, kasema ni pazuri sana na hapana jam la watu.. sema nimesahau jina
So kila mtu na vile anavyochukulia vitu..