Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,390
Duh..muda mrefu njiani..Itakuwa ulipanda ile ya kwetu ordinary maana express ya wazambia huwa inapita mbeya jioni kabla jua halijazama,, mimi kuna baadhi ya vituo nimevishika hasa vya morogoro..
Hahahaha sikimbii kitonga ila mie huwa napenda safari za kukaa muda mrefu njiani
Treni ya Tazara hii au ,hili dude nilipanda Kapiri mposhi to makambako
Hahahaha, kweli Rafiki napenda niweke ,ujuzi wakuweka sina njoo PM unielekezeAcha utani bwana
Nataka nipumzike mdogo wangu.
Nimewaachia nyie mabinti .
Weka tu.Aah wapi! Sijui hata naanzaje kuweka mvi zangu hapa[emoji39][emoji39][emoji39]
Utaona tu[emoji23][emoji23]Mmhh ngoja tuone
Napandaga express , lkn nikiwa natoka Zambia nashuka makambako ,napendaga tu treni cz nakula bataUlipanda ipi Express au Ordinary??
Aah wapi!!Weka tu.
Mbona hata mimi ninazo..japo si za uzee[emoji1][emoji1]
Kweli Tena.Aah wapi!!
Hem' tukione!!Kweli Tena.
Kichwa changu cheupee
Sasa nimevaa ushungi hakionekani[emoji1787]Hem' tukione!!
Ndio unaweka hy selfie yako ? NiisubiriUtaona tu[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji39]Sasa nimevaa ushungi hakionekani[emoji1787]
Tuone ushungi huo bintiSasa nimevaa ushungi hakionekani[emoji1787]
si ukuje wewe km iko wazi kweliSi ilikuwa ukuje jana
Kweli Tena..au huamini?[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji39]
Hapana, [emoji23][emoji23][emoji23]Ndio unaweka hy selfie yako ? Niisubiri
Sasa hapa mnataka kuona mvi au ushungi!? Eti Eli79Tuone ushungi huo binti
Ila hamna aliyekufa[emoji1].
Lilipinduka vizuri