Lenie mie ni mkali au mpole ? Au mixer 😝
Kuna cuzzo mmoja jana kanichana aisee
Nimeweka status.. kaiba picha karepost kwake, nikareply na 😍… akanambia ninawapenda sana 🤣 ila J kakuzidi..
Nampenda J ye mpole , we muda mwingi uko serious 🤓
Nikamtumia stika kwanza ya kumpiga konzi 🤣🤣
sasa bado nipo kujitafakari…