Lenie mie ni mkali au mpole ? Au mixer
Kuna cuzzo mmoja jana kanichana aisee
Nimeweka status.. kaiba picha karepost kwake, nikareply na
… akanambia ninawapenda sana
ila J kakuzidi..
Nampenda J ye mpole , we muda mwingi uko serious
Nikamtumia stika kwanza ya kumpiga konzi
sasa bado nipo kujitafakari…