Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,790
Si nakugandua tu🤣Wee nikagande huko, utapata wapi shoga mwingine kama mimi😂
Haina maajabuNitaikuta dp kwa mtu siyo Muda mrefu View attachment 2289061
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
AiseeNitaikuta dp kwa mtu siyo Muda mrefu View attachment 2289061
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣 mabus mkuu...mimi wa kawaida tu.
🤣🤣
Mkuu naomba niwe kondakta kwenye bus moja jamani 😂🤣🤣🤣 mabus mkuu...mimi wa kawaida tu.
😊😊😊Sketi❤️🔥
Kuna picha ya hii sketi niliitunza maktaba
Jirani kulikoni..
😅😅 sikuwekiImekaa kimitego sana, hilo pozi
Bora tu uweke avatar yangu wallpaper😂
Kanifurahisha..Jirani kulikoni..
Binti kama wewe huwezi kuwa konda..ngoja nifungue kaofisi uje unipe ushauri🤣Mkuu naomba niwe kondakta kwenye bus moja jamani 😂
Sawa jirani..Kanifurahisha..
Ushauri wa nini? Mie naweza kuwa konda bana 😜😜Binti kama wewe huwezi kuwa konda..ngoja nifungue kaofisi uje unipe ushauri🤣
Sawa jirani, ngoja nivune vitunguu halafu ninunue haice kwanza..Ushauri wa nini? Mie naweza kuwa konda bana 😜😜
Ila sharti kile kiti cha mwanzoni hakuna kukaa abiria ili niwe nakaa mie