Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,971
- 26,952
Chagua tu mapema ni nin zawadi gani unataka ya kumkubalia uncle angu..... Alaf me ntamaliza kila kitu kimya kimya
Chagua tu mapema ni nin zawadi gani unataka ya kumkubalia uncle angu..... Alaf me ntamaliza kila kitu kimya kimya
Karibu jirani...
Me na shoga angu tuko poa kabisa jiraniSalama kabisa jirani...hamjambo?
Hahahaa leo full kujianika nje kama mjusi😂Tupo na nani? 😄😄
Mimi sipo..
Leo kuna jua huku hadi raha 😜😜
Nipo shost, niende wapi mie
Mh...Jirani. Haya sawa.Tupo na nani? 😄😄
Mimi sipo..
Leo kuna jua huku hadi raha 😜😜
Bado sijaolewa
Waooo unasubir nn sasa malkia mremboBado sijaolewa
Nani jiranKuhusu nini jirani?. Mn nilikuwa sipo maeneo haya kdg.


Nasubiri muda ufike
Kwahyo sshv unakula Kwanza ujana ehhNasubiri muda ufike
Mungu ndo muweza
Hahahahaaaa ...!!!!Chagua tu mapema ni nin zawadi gani unataka ya kumkubalia uncle angu..... Alaf me ntamaliza kila kitu kimya kimya
Nakuona mdamee
Hapana natulia tu mie
Mbavu zangu Joan !!☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️katabasamu Kwa mbaaaaliii


hayaNaombeni dawa ya kukuza ndevu aka uchebe View attachment 2288879
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app