Ningetaka kujipa ujiko ningesema kweli ni abroad ila ni vile tu haina maana,, Rovos huwa inakuja bongo kila mwaka mkuu na siku hiyo ilikuwa kama zali tu tumeingia kutoka mbeya tunaikuta pale tazara dar imepark ndiyo inajiandaa kuondoka huwa haikai sana hapa na ni bahati kuiona maana inakujaga bongo mara moja moja ndiyo maana nikaona nichukue tupicha twa ukumbusho maana moja ya ndoto zangu ni kuja kuipanda siku moja..