Nasubiri salamu za mama mchungaji
Heaven Sent hajaonekana siku kadhaa hapa nayeye sitoshangaa akija na kusema aliokota kadhaa
Hongera kwa hizo ulizookota zilikua salamu za Idd
Naamini mwezi wa 12 hutaninyima mwaliko kama
Lenie anavyokusudia kufanyaπ€£π€£π€£