[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi niambie utanipeleka wapi? Siku ya kwanza napanda ghorofa tena O level, nusu nianguke kwa kizungu zungu?Aunt mm nikikutoa out naenda na hesabu kmili kunywa elf 10 ukizidisha bill juu Yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na mimi sikubali uwe kimyaaUkIona kimya ujue bando[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umesahau, kuna kitu alinambia, nlimjibu vibayaa, nikimbuka huwa najutia sanaaa.Nikikumbuka ile siku kakuita mkuu[emoji23][emoji23][emoji23],
Kweli utakua ulilewa hadi hesabu zikapotea😅🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂Aunt itakuwa nililewa
Nkamu na baba yetu[emoji7][emoji7]
Anastahili pongezi huyo Mnyaki wallah [emoji122][emoji122]
Aling'oa chombo haswaaa
Furahieni maisha
Maisha ni matamu sana nkamu
🤣🤣🤣Kweli utakua ulilewa hadi hesabu zikapotea😅🤣🤣🤣🤣
Basi nisamehe bureeee,Unapaswa ujue mtizamo wako hauwezi kua sahihi siku zote..
Nna marafiki active 200+ na wananijua 12 years ago naishi na watu nyumba moja wana nnao kibao hawajawah nambia izo vitu unaniletea...
Haunijui nipo tofauti sana na unavonifikiria maoni yako ningeweza kuyafikiria miaka 7 nyuma kipindi nawafatilia hao kina mond ila sio sasa npo mbali na hio lifestyle unayonidhania
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umesahau, kuna kitu alinambia, nlimjibu vibayaa, nikimbuka huwa najutia sanaaa.
Mnisamehe, yaan najaribu kuacha u kiropo ropo ila siweziii.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaah
Nishafunguaga eeehNa mimi sikubali uwe kimyaa
Fungua pm nikupe vocha mlongo leo hakuna kulala hadi asubuhi[emoji28][emoji28]
Ahsante sana 🙏🙏🙏🙏Asante sana Nkamu
uwe na usiku mwema wewe na familia
[emoji1545][emoji1545]
Wee cheupe dawqla mbna sijaona picha yako?Asante sana Nkamu
uwe na usiku mwema wewe na familia
[emoji1545][emoji1545]
Naomba nirudishiwe elf kumiyangu nililewa 🤣🤣🤣Kweli utakua ulilewa hadi hesabu zikapotea😅🤣🤣🤣🤣
Ngoja niwahi fursa hii🏃🏃Nishafunguaga eeeh
Kawaida tu ujue,itafika kipindi unaacha[emoji23]Mnisamehe, yaan najaribu kuacha u kiropo ropo ila siweziii.
Bas tafrani tupuuuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitakua narusha vocha ya buku kila siku hapa baada ya siku 10 nitakua nimemaliza hilo deni😅😅Naomba nirudishiwe elf kumiyangu nililewa 🤣🤣🤣
Kuwa makini usianguke[emoji23]Ngoja niwahi fursa hii[emoji125][emoji125]
Hawezi acha huyu hawezi kabisaaaaKawaida tu ujue,itafika kipindi unaacha[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mtu aliwahi nambia wee jifanyee eti ooh unafiki siwezi, mara msema kweli, itakuja mdomo uwe kisogoni, utapata akili.Kawaida tu ujue,itafika kipindi unaacha[emoji23]
😂😂Usinikumbushe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi niambie utanipeleka wapi? Siku ya kwanza napanda ghorofa tena O level, nusu nianguke kwa kizungu zungu?
Ushamba mzigo, sehemu za watu wengi sitakiiii.