spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,029
- 21,529
Mdogo wako ameishaa
Ooooh inapendeza,Tumechinja skukuu yafaa nyumban tumepata mee
UshindweeeeeMdogo wako ameishaa

Mrembooooh,




Shangazi una tabia mbayaa, ulisubiri nitoke ndo uweke mmmh,Ila aunt![]()





Niaje niaje Mkwe wa mchongo🤪Babu wa mchongo habari yako![]()
Nakujaaa sahivi.Karibu baby sis, nimekubakishia![]()
Anajiandaa na pepa ya kesho wacha atengeneze gpa tumekusudia kwenda ulaya




mie sitaki vocha, nataka package ya Eid lol.That's great!!
Kila lenye kheri na Best wishes kwake shoss![]()






utatusindikiza Eapoti??Ulikua unazagamuliwamlongo eti nn?
Nina gb4
Nipo hapa
Can't wait
Ila nimewamiss jmn




hivi aliweka sasa??Kumbe mdomo una ubinuaga makusudi, leo mbna umekaa vizuri.








