reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,460
- 29,368
Wee kizee miye bro!!!Wewe bado binti mbichiii
Alaf umemisika sana tubatiki na ka selfie ka Idd tafadhali
Nikipata vocha naselfika mbona!chaap
Wee kizee miye bro!!!Wewe bado binti mbichiii
Alaf umemisika sana tubatiki na ka selfie ka Idd tafadhali
[emoji16][emoji16][emoji16]kama kunguru aseeh!!!Mnoooo na speed si ya nchi hii ndio utawahi otherwise manyoyaaaaa!!
Mjep nakutumia namba yangu tu PM uniwekee vocha miye[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]hapa sipatiSelfika na #halotel#
*104*5374300764017#
Happy Eid[emoji111][emoji111][emoji111][emoji111]
Anajiandaa na pepa ya kesho wacha atengeneze gpa tumekusudia kwenda ulayaMy sweet cocastic jamaniiiii Wherayuuuu?
Usinambie na hizo halotel za mwisho umezikosaMjep nakutumia namba yangu tu PM uniwekee vocha miye[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]hapa sipati
Besti wishezi zake aliko!!hukooAnajiandaa na pepa ya kesho wacha atengeneze gpa tumekusudia kwenda ulaya
That's great!!Anajiandaa na pepa ya kesho wacha atengeneze gpa tumekusudia kwenda ulaya
Namba ya halotel imepotea na simu sijarenewe natumia Tigo na Airtel nawadaizUsinambie na hizo halotel za mwisho umezikosa
Amesitisha mizagamuo kwa muda hadi amalize mitihani😅😅😅Idd leo analiwazwa habari hapati
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nomaa sanaa!!Idd leo analiwazwa habari hapati
[emoji16][emoji38][emoji16][emoji16]acha kabisaaAmesitisha mizagamuo kwa muda hadi amalize mitihani[emoji28][emoji28][emoji28]
Hahaha[emoji38] kwa kweli life is too short!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nomaa sanaa!!
Let her enjoy to the fullest!![emoji8][emoji8]
Kabisa mamy!!Hahaha[emoji38] kwa kweli life is too short!!
We waacheNipo tu nazurura zurura huku labda ningeambulia mwaliko wa ubwabwa ila had saivi ubao unasoma 0-0😃
Za wewe? Umemisika et
Na ya Disemba ilivo na wengi sasa kila wakikatiza harufuuuuuuuii!!😉We waache
Wanadhani basi December ni mbali 😝
Za mimi leo? Zimeganda 🤣🤣🤣🤣
Bado miezi michache na me nitawalipizia mbonaWe waache
Wanadhani basi December ni mbali 😝
Za mimi leo? Zimeganda 🤣🤣🤣🤣