financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,190
- 43,515
ππ nahitaji hiyo BMW ila naogopaaaila ujiandae kidogo tuu sio sana, maana kwa kuruka kuanzia kamba ya CPA uje kwenye kamba ya BMW π π π
Huto umia hata, nina kipili pili hata ukiongea tu kinaruka π πππ nahitaji hiyo BMW ila naogopaaa
Ni nini hii sijaelewa mkuu
Shikamoo nkamuMuda ndiyo huu wakuu, happy Eid to youππ
Sina hata cha maana hapa
TamuuMuda ndiyo huu wakuu, happy Eid to you[emoji39][emoji39]
Ahsante nkamu, upo wapi nijeπShikamoo nkamu
Karibu Eid
Ujapika jamanSina hata cha maana hapa
Karibu tule nguna hapa
Karibu mkuu
Niko hapa Kwa Mrefu nkamu wahiiAhsante nkamu, upo wapi nijeπ
Unaniita mkuu unataka uninyime nn ww bintiKaribu mkuu
Ugali upo njoo tule
Si tulikubaliana humu ndani wote ni wakuu, hukusikia hiyo?π
Bana banaSi tulikubaliana humu ndani wote ni wakuu, hukusikia hiyo?[emoji23]