Tangu jmos namuambia kuwa leo asubuhi naenda kuchukua nguo, tukakubaliana fresh, kheeh leo asubuh ananipigia cm eti yuko mtwara msibani, nkamuambia km ipo tayar bas hata mwanafunz wake atanipa, kheeeeh eti hajamaliza kushona, nkaona ni utan, kwenda pale nakuta pamefungwa, nimechoka hapa hoiiii.