Selfika na JF: Snap it. Show it

Acha utani ujue fundi ameleta balaa gani wagi walai niko standby hapa waiting kutetema mie uwiii!
Tangu jmos namuambia kuwa leo asubuhi naenda kuchukua nguo, tukakubaliana fresh, kheeh leo asubuh ananipigia cm eti yuko mtwara msibani, nkamuambia km ipo tayar bas hata mwanafunz wake atanipa, kheeeeh eti hajamaliza kushona, nkaona ni utan, kwenda pale nakuta pamefungwa, nimechoka hapa hoiiii.
 
Doh siku zote uzompa jamani almost 2 months na ameleta mambo ya kiwaki ivoo!!!πŸ€”!! Shenz zake kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…