Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,222
- 50,170
Si unipunguzieko na mie kidogo shoga angu, sina bando😂🤣🤣 acha umbea
Si unipunguzieko na mie kidogo shoga angu, sina bando😂🤣🤣 acha umbea
O for Oliva
O for orange
O for overall
O forachana na ile ya vijana wa hovyo 🥹







Khaa!!
Anko nipunguzie mzigo wa kuandamwa



Mpaka uselfike ankoAnko nipunguzie mzigo wa kuandamwa![]()
Ijia basi 😂Si unipunguzieko na mie kidogo shoga angu, sina bando
Saa nne juu ya alama usiku nitakuwa hapa nikijimwaya mwaya na kuneng'eneka... "Vyombo" vitakuwa vimekula ubongo wa aibuMpaka uselfike anko
Kwani wewe una niniSi unipunguzieko na mie kidogo shoga angu, sina bando
Anko 😂😂😂😂Saa nne juu ya alama usiku nitakuwa hapa nikijimwaya mwaya na kuneng'eneka... "Vyombo" vitakuwa vimekula ubongo wa aibu
Ana tigo na halotel 😂Kwani wewe una nini
Mashallah 🤩
Mide mide💕💕
Mwambie anidipu😜Ana tigo na halotel 😂
💃💃💃💃💃😅Mtoto lipssssss!!
![]()
Bidada wakwanza kumuona humu jf akijipost


