Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,214
- 29,383
Mpaka nitakapoletewa mihogo na kachumbari,ninywe chai kisha niselfike😅Unaamka saa ngapi ili tuwe standby
Hapana chezea mahaba ya kitu wee, maumivu hua yanavumilika😃😁😁 ingekuwa balaa
Wanaumiaga 1st day kuna watu nawaona hapa
Salamu ya wahenga😃Hii salamu imenirudisha mbali Sana kifikra "vipi wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu"
Mimi sijambo mamii
Mihogo daah😋😋Mpaka nitakapoletewa mihogo na kachumbari,ninywe chai kisha niselfike😅
[emoji38]Breakfast for two [emoji7]
😀😀 Mbona kawaida.Wacha bhana
Sasa huo msambwanda
Inakuwaje huko skonga[emoji848]
Mimi nimeamka ndy nakula hapa..pilipili nyingi sn Hadi natoka mafua mepesi😅😅Mihogo daah😋😋
Ngoja nimtume dogo aniletee ninywee chai, ushanitamanisha
Ukae na tishu hapo😃Mimi nimeamka ndy nakula hapa..pilipili nyingi sn Hadi natoka mafua mepesi😅😅
AiseeI'm feelin' vibes on vibes
I'm a tickin' 🧨 View attachment 2283238
Vipi?Aisee
Hujambo jirani..Vipi?
Sijambo… mbona umeshangaa pale?Hujambo jirani..
Ni baridi tu limenibamba..nikaona dabodabo😁Sijambo… mbona umeshangaa pale?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 we mkorofi sanaNi baridi tu limenibamba..nikaona dabodabo😁
Niko sawa jirani..🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 we mkorofi sana