Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,211
Hapana mkuu 🤣Wewe ukiamuaga chizi sana😅
Hapana mkuu 🤣Wewe ukiamuaga chizi sana😅
Okay karibuNi sawa tu
Akili yako unaijua mwenyewe😆😆😆Hapana mkuu 🤣
Asante sanaOkay karibu
Ujue bado nakudai kontakti anko,nimekaa huko mpweke ajabu, nimerudi utadhani nilikuwa Somalia!!Jirani anapaswa akapumzike.. tokea asubuhi yuko hapa
Hujaganda tu na baridi?Nimejifunika blanket nahisi joto, nikijifunua baridi 😝😝
Dah
Nimegandaaaa 🤣🤣🤣Hujaganda tu na baridi?
🤣🤣🤣 nitakutafutia gwanda likusaidieNimegandaaaa 🤣🤣🤣
Nimekuwa ngaaa kama afande
Jiji kubwa hivi unakaaje kipweke? 😁 uzembe huo anko..Ujue bado nakudai kontakti anko,nimekaa huko mpweke ajabu, nimerudi utadhani nilikuwa Somalia!!
😂😂😂😂😂🏃♀️🏃♀️ nataka O mie🤣🤣🤣 nitakutafutia gwanda likusaidie
🤣🤣🤣 emu uko😂😂😂😂😂🏃♀️🏃♀️ nataka O mie
Sijambo jirani, wewe je..Jirani myoyambendi nakusalimia
Aisee..😂😂😂😂😂🏃♀️🏃♀️ nataka O mie
Emu kalale 🤣🤣🤣🤣 emu uko
Nami niko poa jirani, siku imeisha salamaSijambo jirani, wewe je..
Imekuwaje tena?Aisee..
Hivi usiku ushaingia kumbe😃Emu kalale 🤣
Salama imeisha...karibu karanga na maziwa jirani..Nami niko poa jirani, siku imeisha salama