Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Mimi huwa naziacha tu ziende[emoji3][emoji134] uko kwenye udaku ndiyo majanga. Simuelewagi hata kidg. Mpk nifafanuliwe kabisa
Umbeya napenda lakini code hapana
Mimi huwa naziacha tu ziende[emoji3][emoji134] uko kwenye udaku ndiyo majanga. Simuelewagi hata kidg. Mpk nifafanuliwe kabisa
Mie hapo ndio nahisi nilifeligi mazima!!Mimi huwa naziacha tu ziende
Umbeya napenda lakini code hapana
Mtume roho yangu ngoja niende chooni KwanzaJoan S kipenzi kwa leo inatosha [emoji8][emoji8]
[emoji2][emoji3] kumbe wapenda umbea tuko wengi. AsanteewMimi huwa naziacha tu ziende
Umbeya napenda lakini code hapana
[emoji2] ukirudi utuambie
Code ngumu kwa kweliMie hapo ndio nahisi nilifeligi mazima!!
Uvuvio ni kama ufunuo...msaada toka juuOoh revival right ?
Unalala mapema kesho hakuna kazi banaAntonnia umeenda wapi Sasa?. Nataka nilale mieeee
Daah una taabu totoo..☝️☝️☝️☝️☝️ nilisinzia shougaa...
😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴👋👋😴😴😴muwe na wakati mwema 😉!Daah una taabu totoo..
Kulala gani huko kama sungura😂😂
Naachaje yaani[emoji2][emoji3] kumbe wapenda umbea tuko wengi. Asanteew
Ooh sawaUvuvio ni kama ufunuo...msaada toka juu
Itabidi nikutafute unifundishe zile nyimbo pendwa napenda mnavyotamkaOoh sawa
Asante
😄😄