Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Jamani pitia admission guidebook ya TCUX wangu kapata 3 ya 13 anaweza Pata chuo kweli hii pimbi
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Jamani pitia admission guidebook ya TCUX wangu kapata 3 ya 13 anaweza Pata chuo kweli hii pimbi
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Kwahyo unaona mm mtoto 1970 huko ndyo nimezaliwaUlilipiwa na nani?ukifika 30s utanenepa
Ahh atajua mwenyewe Kwanza akienda chuo atanirusha rohoJamani pitia admission guidebook ya TCU
Try to be supportive!Ahh atajua mwenyewe Kwanza akienda chuo atanirusha roho
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Ukizidi sana 27
Weka hapa nida yako 😂
Ww binti unanifananisha mm na umri wa zuchuWeka hapa nida yako![]()

HahahahaKwa sisi warefu dar to mwanza ukifika lazima ufanyiwe operation sitasahau hyo safari afu nilikaa na dume mwenzangu niliichukia sana hyo safari
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Zuchu si dada ako
Katoto kajuzi kanakua nakaona nimekatuma sana mwnylma hapoZuchu si dada ako
🙂Tumetoka mbali...Ikulu ya enzi hizo!!
🔥🔥🔥🔥🔥