myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Salama jirani kwako vipi huko..Good morning selfika!!![]()
Salama jirani kwako vipi huko..Good morning selfika!!![]()
😂 😂Ikulu ya enzi hizo!!
Huku njema sana jirani!Salama jirani kwako vipi huko..
Panachekesha walai!
Kipindi kile hakuna hizi fenicha za Dubai...Panachekesha walai!
Asante sana jirani.
Salama kabisa..Asante sana jirani.
Natumai umeamka vema
Thank you jirani… kipupwe cha leo wakionaje?
Huku kwetu hatariii...Thank you jirani… kipupwe cha leo wakionaje?
Vizuri jiraniSalama kabisa..
Ni balaa sanaHuku kwetu hatariii...
Sawa intern 😂😂😂😂
Khakhakhaaaa!! mamdo una vituko wewe!! kwanini unamwita mwenzio Pimbi sasa!!X wangu kapata 3 ya 13 anaweza Pata chuo kweli hii pimbi
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
X wangu kapata 3 ya 13 anaweza Pata chuo kweli hii pimbi
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Niambie Kwanza atapata chuo auKhakhakhaaaa!! mamdo una vituko wewe!! kwanini unamwita mwenzio Pimbi sasa!!
Kama kuna 4 points kwenye masomo ya msingi atapata…X wangu kapata 3 ya 13 anaweza Pata chuo kweli hii pimbi
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app