Weee ulivo mkorofi hivo mjomba π!! Haya kikao kikianza nijuze mjomba wangu mzuri mie!Badae inabidi tuweke kikao mahala shangazi.. najua wewe na mjomba wako hakuna linalo shindikana π
Weka picha yako wewe, waweza weka full picture or half pic..Natakiwa kufanyeje? Nipe maelekezo timilifu
ππJamani, isijrudie tena vidole vizuri hivyo kupata mushkeli..Huko kwa Wazanzibar ππ
Imagine najigonga sehemu hiyo hiyo twice π°
πππNilijua tu π€ͺ
si ule msemo ukisusa wenzio twala mdogo wangu ndio nimemalizia hapo uposema nisisuseπ!!Wale kitu gani? π€
Ah sawaβ¦. Wacha wafaidi basi ππwale maziwa maziwa na mayonaizi na pipi kirungu
Kumbeeeesi ule msemo ukisusa wenzio twala mdogo wangu ndio nimemalizia hapo uposema nisisuseπ!!
Nakutumia location ya Juzi mjomba usitoke π€£π€£π€£π€£π€£π!!ππJamani, isijrudie tena vidole vizuri hivyo kupata mushkeli..
Kizuri hicho ki maroon wauzaji wanasemaje.. wanaviita washa moto πππ
Mie mkorofi kwa wengine tu Shangazi.. ila kwako aaah.. nakuwaga nafata protocol tu π πWeee ulivo mkorofi hivo mjomba π!! Haya kikao kikianza nijuze mjomba wangu mzuri mie!
Pamoja sana βοΈβοΈ!!Kumbeeee
Basi fuleshiiiii
ππππππJamani, isijrudie tena vidole vizuri hivyo kupata mushkeli..
Kizuri hicho ki maroon wauzaji wanasemaje.. wanaviita washa moto πππ
Bye shangazi π π πNakutumia location ya Juzi mjomba usitoke π€£π€£π€£π€£π€£π!!
Mnasemaga hivohivo after sometime mnakengeuka setakeeeeeeeeππππππ!Mie mkorofi kwa wengine tu Shangazi.. ila kwako aaah.. nakuwaga nafata protocol tu π π
Kime match na rangi ya body wacha kabisa.. kushtuka moyo kama kawaida hapo π πππππ
π€£π€£π€£π€£π€£ Hivi ehhhhh??? Wako vizuri π
ππππ€£π€£Basi situmi mjomba usiondoke si unaona wana selfika wengine bado wako likizo naona tangu jana mie na Depal ndio tumeshikilia zamu selfika ππunatuachaje pekeetu lakini?!! Haya situmi mjomba wangu mzuri njoo!!Bye shangazi π π π
π π hayo mambo ya teenager shangazi. sie mabazazi wala hatuna hayo mambo ya kufatana fatana kama mkia... uhuru wake na furaha yako ni kipaumbele changu kabisa shangazi πππMnasemaga hivohivo after sometime mnakengeuka setakeeeeeeeeππππππ!
Moyo wangu ushatulia saivi mjomba usinikoseshe amani mie!! ππ€£π€£π€£ mambo za kuchat limitations nehiii Mara ukitoka online Moja kwa moja polisi kujitetea sizitaki tenaaaaa mie π!! Am free and Happy again!!
Si hio hapo kwa DP? Wacha niweke nyingine ila nilishawekaWeka picha yako wewe, waweza weka full picture or half pic..
Shangazi, natupia badae shangazi usijali.. hapo sawa na kituma usinitag Shangazi nitasikia ushunguuu sanaaππππ€£π€£Basi situmi mjomba usiondoke si unaona wana selfika wengine bado wako likizo unatuachaje pekeetu lakini?!! Haya situmi mjomba wangu mzuri njoo!!
Siweki tena mjomba anything for you mjomba wangu!! Sema kingine πShangazi, natupia badae shangazi usijali.. hapo sawa na kituma usinitag Shangazi nitasikia ushunguuu sanaa
DP kuna raba,, weka uchebeSi hio hapo kwa DP? Wacha niweke nyingine ila nilishaweka