Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha... mrashia wangu anitosha mjomba moyo wangu ni mdogo sana hautoshi Watu wawili mjomba!! πŸ˜‰ Usinigombanishe na rafiki zangu mjomba!!
Shangazi mie nipo tayari hata kuwa reserve kikosi D, nitavumilia tu.. Mrusia akisafiri unakuwa unanituma tuma tuu.. marafiki zako watakuelewa tuu shangazi.. Mjomba wako hana shda kabisa. mjomba wako ana roho ya kimalaika Gbariel hana makuu
 
Siwezi humu nimeshatoka kitambo mie . Learning through mistakes mdogo wangu!!
Halafu hii si ni chitchat tu lakini hakuna uhalisia hataπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
Shangazi unajua namaliza nusu mwakaa vile.. πŸ˜€ πŸ˜€ mie na wewe shangazi najua tutaweka azimia letu tumetoka mbaaali sana kama nyuki na maua
 
Shangazi mie nipo tayari hata kuwa reserve kikosi D, nitavumilia tu.. Mrusia akisafiri unakuwa unanituma tuma tuu.. marafiki zako watakuelewa tuu shangazi.. Mjomba wako hana shda kabisa. mjomba wako ana roho ya kimalaika Gbariel hana makuu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£ Akili zako sasa mjomba mwenyewe!!Acha shangazi alee wajukuu tu mjomba wewe enjoy with whoever you feel to be with.. Warembo wapo wengi sana humu au nikutafutie???
 
Attachments

  • 20220702_201915.jpg
    91.4 KB · Views: 7
  • 20220619_065122.jpg
    75.7 KB · Views: 7
  • 20220614_070057.jpg
    17.9 KB · Views: 8
  • 20220612_175943.jpg
    211.8 KB · Views: 8
  • 20220612_175937.jpg
    92.6 KB · Views: 7
Shangazi unajua namaliza nusu mwakaa vile.. πŸ˜€ πŸ˜€ mie na wewe shangazi najua tutaweka azimia letu tumetoka mbaaali sana kama nyuki na maua
Halafu plan yako si ipo pale pale wee mjomba kufika twenty twenty three ukiwa clean kabisa mjomba!! Kumbuka hio goal yako ujue!!
Acha shangazi aenjoy na big boy wa kitaa weekend nilikua nae location moja mattatta sana mjomba!! Uliona!!!??
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£ Akili zako sasa mjomba mwenyewe!!Acha shangazi alee wajukuu tu mjomba wewe enjoy with whoever you feel to be with.. Warembo wapo wengi sana humu au nikutafutie???
Warembo hawanitaki, ndio maana nipo miguuni pako Shangazi.. achana na watoto watoto hawajui maisha, tuje tulee wa jukuu hata nikiwa wa mpito tu.. kuwa naserikali ya muungano Shangazi ( serikali tatu ) 😎 😎 😎
 
Halafu plan yako si ipo pale pale wee mjomba kufika twenty twenty three ukiwa clean kabisa mjomba!! Kumbuka hio goal yako ujue!!
Acha shangazi aenjoy na big boy wa kitaa weekend nilikua nae location moja mattatta sana mjomba!! Uliona!!!??
Hapana shangazi sitaki kuonaaa.. nitasikiaa ushunguuuu.. maaana nita imagine sana, hadi nishindwe kulaaa
 
Hapana shangazi sitaki kuonaaa..nitasikiaa ushunguuuu.. maaana nita imagine sana, hadi nishindwe kulaaa
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 kupatwa kwa Shangazi πŸ˜‰πŸ€£πŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈ
 
K
Usisuse bana πŸ˜†πŸ˜†

Yes humu kila kitu ni chit chat aka inasemekana.
Na Kususa🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣! Mie nikisisa nimesusa kweri kweri sirudi nyuma kama kula wacha wengine wale kwa amani tu mdogo wangu!!
 
Badae inabidi tuweke kikao mahala shangazi.. najua wewe na mjomba wako hakuna linalo shindikana 😎
 
Pole Malaika Lizzy , umejigonga wapi, nije niaparudishie hawezekani.. kihujumu vidole vizuri hivyo..

Mie nipo na maroon tu.. ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ unajua hakika
Huko kwa Wazanzibar πŸ˜‘πŸ˜‘
Imagine najigonga sehemu hiyo hiyo twice 😰

😁😁😁Nilijua tu πŸ€ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…