Good morning boss ladyNaona Wengine Bado wamerara mr Vocha good morning ✋!!
Good morning boss ladyNaona Wengine Bado wamerara mr Vocha good morning ✋!!
Ile ya jana ilipaswa iwe hivi madam
Jamanii!!🤔🤔🤔Boss lady njoja tuchakarike kwanza, badae natupia humu.
🙏Good morning boss lady
Hehehe haloooo 🤣🤣😂😂Good morning...View attachment 2281468
Mkuu umenipa sifa za mama mchungaji😁Sijaona. Labda umefuta chap...
Haya nipo sasa. Hebu weka hata kwa 5 seconds kama Mr. Vocha ndo uende job
Huo ndo muda huwa tunakula dinner 😁3:18 🙄
Ni uwa hamshibi dinner au
Chakula mi mida hii inakuwaga tamu sana. Haihitaji kupasha.3:18 🙄
Ni uwa hamshibi dinner au
Kaa hapa usibanduke🙏
Nawewe hutubariki asubuhi asubuhi Mr vocha???🤔🤔🤔🤔🙆🙆
Hii siku imeanza vibaya walai!!😌
😂😂😂😂 kwahiyo mnakula cha baridi??Chakula mi mida hii inakuwaga tamu sana. Haihitaji kupasha.
Eeeh 😄😄 nikiwa mkubwa na mimi nitajaribu kulq dinner saa 9 usiku nioneka kama inakuwaga tamu 😂🤣😂🤭😝Huo ndo muda huwa tunakula dinner 😁
Yani hamna kupasha, kitapatia moto ndani 😄😄😂😂😂😂 kwahiyo mnakula cha baridi??
Umeanza kunywa miti shamba dogoHibiscus tea 🌺 View attachment 2281465
Muulize Lenie akwambie inavyokuaga tamuEeeh 😄😄 nikiwa mkubwa na mimi nitajaribu kulq dinner saa 9 usiku nioneka kama inakuwaga tamu 😂🤣😂🤭😝
😂😂😂😂 sasa kutakuwa hamna kukabwa kweli? Maana koo laweza kuwa dry 🤭Yani hamna kupasha, kitapatia moto ndani 😄😄
Baada ya kuacha 🍺Umeanza kunywa miti shamba dogo