Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,221
Kuna vyuraAaaah jamani.. Basis kwenye kidimbwi
Kuna vyuraAaaah jamani.. Basis kwenye kidimbwi
Usiende mbali, badae naachia hapaBasi selfika..
Hahaa! Wapo tuu wanapita kimya kimyaWako wapi hao watu wenyewe.....?😁😁
Liwezekanalo leo lisingoje kesho..Usiende mbali, badae naachia hapa
Hupendi kuona chura wanaru ruka eehKuna vyura
Siwapendi hataHupendi kuona chura wanaru ruka eeh
Basi tukaogelea kwenye swimming poolSiwapendi hata
Hapo at least I can try!.. nakaa pale kwenye ngazi nadumbukiza miguu kwa majiBasi tukaogelea kwenye swimming pool
Kwahiyo nikujie eehHapo at least I can try!.. nakaa pale kwenye ngazi nadumbukiza miguu kwa maji
Lini hiyo 😀😀 nianze kujipangaKwahiyo nikujie eeh
Nikubebee pipi kijiti au pipi kirunguHapo at least I can try!.. nakaa pale kwenye ngazi nadumbukiza miguu kwa maji
Alafu pale IPO swimming pool sasa hili baridi itakuaje ? Usije gandia mleLini hiyo 😀😀 nianze kujipanga
Boat mwaya 🙂Dear hii ndio inaitwa meli au boti?
Sawasawa jirani..Liwezekanalo leo lisingoje kesho..
Boat mwaya
Leo umemchukua bajaza wangu
Bora upo kuniweka sawa 🤗Umekosea inaitwa nyambizi Kwa jina la kisomi tunaita manuwari ... Ahaha