Kwann wazee wasipambane na wazee wenzao?? KhaaahWanaporwa kwani wanatekwa?
Mtu above 18 na akili zake kamili anatenda analoamini kuwa ni jema na lina faida kwake...
Tatizo hapo ni njaa za hao mademu wa chuo....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie lol.
Nshasema pale campus sibebi mtoto,, na nkibeba ni coet au conas,, hao wengine ni majambazi tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mate usinichekeshe, sometimes life la chuo lina fanya mtu u enjoy, nimekumbuka kuna dada m1 wa class letu alimchuna kaka wa LLB ilifika hatua anaomba tena kwa demu hela ya kufanyia mambo yake, yaan amkope uwiiiih.
Ela kahonga zimeisha alafu akaanza kukopa kwa aliemuhonga [emoji23][emoji23]iyo kali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mate usinichekeshe, sometimes life la chuo lina fanya mtu u enjoy, nimekumbuka kuna dada m1 wa class letu alimchuna kaka wa LLB ilifika hatua anaomba tena kwa demu hela ya kufanyia mambo yake, yaan amkope uwiiiih.
Uliona wapi gari bovu ikavuta gari bovuKwann wazee wasipambane na wazee wenzao?? Khaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mara ya pili leo nashuhudia hiki kisanga, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm nisingekubali na mm ningemwambia mzee naomba lift nishushe hapo mbele potelea mbali[emoji23]
Babe ana viete
La SU [emoji23][emoji23][emoji23]
Uliona wapi gari bovu ikavuta gari bovu
Coet sio class letu lakini utalizwaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nshasema pale campus sibebi mtoto,, na nkibeba ni coet au conas,, hao wengine ni majambazi tu[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee wamezidi bhanaaUliona wapi gari bovu ikavuta gari bovu
Hivi bado kuna wadada wanashawishika na magari[emoji23][emoji23]Wababa na wababu, acheni kupora mademu vijana wenu wa chuo khaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na mnatumia gari ili kuwateka lol.
Nipo G, mambo vipi?Binti upo
Nakandamizia kabisaLizuriiiiiiiiiiiiii [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Nimezoea uswazi mie, huko ushuani sipawezi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitakupeleka huko
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee wamezidi bhanaa
Wee shangazi mie nilikua hoi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ela kahonga zimeisha alafu akaanza kukopa kwa aliemuhonga [emoji23][emoji23]iyo kali
Nshawapanga watu kwamba oi kama hutaki magonjwa ya moyo nenda zako TIA, NIT, KIU, au kairuki huko, hivi vijukuu vya anangisye hamviweziMara ya pili leo nashuhudia hiki kisanga, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na huwa nakaa pale makusudi kuchabo ndinga zinazobeba dents.
Nipo G, mambo vipi?
Namiss maisha ya skuli na vimbwanga vyake.Coet sio class letu lakini utalizwaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila UD jomoneeeeh uwiiiih.