Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,108
- 41,775
Leo[emoji848]Nimeacha alcohol [emoji23]
Huko mtakuwa mmezoea sana joto, kiasi cha kusononeka na nyuzi joto 23 ๐๐Baridi la Dithim ni la mchongo tu๐ ๐ ikifikaga saa nne jua hilo
ila leo limeweza
LoshorooLeo[emoji848]
Ile jana ilikuwa Juice ya miwa eeh
Ashukuriwe mtumish GeodeviNimeacha alcohol ๐
Huyo ni namba nyingine piaMbona hujamtag madam Heaven Sent mmeanza lini kugombana??
Hiyo comment yako ni batili kama inakosa hilo jina chief[emoji3]
๐คฃ๐คฃ๐คฃAshukuriwe mtumish Geodevi
Nidai zawadi yako kama hii ni kweli
Hata mimi niliona [emoji1787]Loshoroo
Madam leo umekunywa nini lakini?๐๐kesho ss๐
Mambo ni moto hali itakuwa baridi zaidi
Ah wapiPole rafiki yangu wa kishua
Mtoto magari ya njano Wigelekelo 's voice[emoji3]
Nitalala vizur sana Leo[emoji3063]
View attachment 2279487
HahaaaaMadam leo umekunywa nini lakini?
Naomba urudi Iringa huko Dar hakukufai
Kaa kwa kutuliaMadam leo umekunywa nini lakini?
Naomba urudi Iringa huko Dar hakukufai
Iringa si ndo baridi ni kali mkuu?Madam leo umekunywa nini lakini?
Naomba urudi Iringa huko Dar hakukufai
Kuna watu wanafaidi nyie[emoji3063]
View attachment 2279487
Itโs true jirani.. nianzie wapi kukudai?Ashukuriwe mtumish Geodevi
Nidai zawadi yako kama hii ni kweli
Ah heri yakoMi ndo hata sijatoka
NachokupendeaAh wapi
Sina ukishua aisee
La sivyo baridi isingenipiga hivyo
Now tuna 17 ila tuko poa๐๐kesho ss๐
Mambo ni moto hali itakuwa baridi zaidi