Selfika na JF: Snap it. Show it

Habari za uzima msukumaa[emoji8]

Nakusalimia babaa yutongs [emoji12]
Mi sijambo aisee...

Naona unabarizi mitaa ya Moro na RR lako jipyaa.

...and yes. Yutongs foreva japo zimeanza kunielemea hasa zile supa dupa. Umri umeenda sana nisipojiangalia nitakuja kuzima laivu nikipambana na yutong [emoji24][emoji16]

Kuna haja sasa ya kuhamia ule upande mwingine...as in Maendeleo Hayana Chama ...

Endelea kubarikiwa BL [emoji1545]
 
Hahaaahahaaaa ng'ombe hazeeki maini msukuma !!

Baraka nimepokea msukuma shukrani sana [emoji120]
 
Ah leo baridi lipo
Limenipiga aisee na hako kamvua
Wamenibishia humu,na baridi linaendelea hili. Nimechek news hapa....
Sasa check weather mpk huu mwezi uishe!πŸ™ŒπŸ™Œ
Njombe ndo shikamoo mpk barafu zinaangukaπŸ™†πŸ™ŒπŸ™Œ
Nyuzi 9 so far
,mafinga,mbeya ,Iringa zinapishana kidogo ila ni balaa,12,13,14.... ndo balaa

Arusha haiingii kwenye hayo maeneo halo juu!
 
Boss wangu wangu Christine1 pole kwa joto la Dar, na karibu chuga siku moja uenjoy maisha kidogo.
Huko Dar waachie akina Saint Anne wamepazoeaπŸ˜…
Nimeishi sana dar,sijawahi ona baridi Kali hivi!
Arusha nimeishi almost 4 yrs ,zamani kidogo,njiro hapo!
Still baridi LA kipindi hiko sio km LA sshv!
Baridi iko Njombe hukoπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Nini hiki?

Vumbi la Kongo ama? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dawa ya mafua hyo bana [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…