Afu babuuuh kuna mchongo m1 nimeupata, jinsi ya kuvukia huko mambelee. Sema siamini sana. Nilihitaji ufafanuzi kutoka kwako.
Sema naogopa km ntakukwaza au kukuvunjia heshima.
Sina heshima ya kuvunjiwa mimi mitandaoni humu maana sina mtu anayenifahamu personally; na nipo kujifurahisha tu. Kama ni ishu genuine njoo tu mjukuu wala usiogope.