Huyu jirani yako ana chuki binafsiπ π π Iko poa jirani...
Eeh umesemajeeeπ€£π€£ππππ traamu
Kabisaaa...Huyu jirani yako ana chuki binafsi
Ukitakamani ujue tayari πππEeh umesemajeeeπ€£π€£
Imekaa ki spider sana jiraniπ π π Iko poa jirani...
ππππππ mama anawapenda sanaMie nimetoka kula gali ndondo la mama Samia hapa naenda kusinzia tu kwenye civics!!
Tayari niniiiiiUkitakamani ujue tayari πππ
π€°Tayari niniiiii
Nina hyo moja tu jirani
Kheeeeh watu wapo humu kukwapua picha zangu, afu wanaenda kuringishia wengine huko, JF ina mambo uwiiiiih.Nipo shogangu nimefulia hatarii!! Mambo hata hayaendi kabisaaaa yani full tafrani!
Haya ebu nibariki walau nitabasamu ivoivo!
Afu dada angu wa damu huyo, ngoja nikutibulie mazimaa, sitaki shem muomba vocha.[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34] unaniharibia cv ww binti ujue namtongoza Rumaiya hapa akiona naomba vocha nitapigwa kibuti cha Kho Kho Kho
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Mbona hiyo tayari siku mingiiiπ€°
Nataka muelekeo huu
ndimu kama kawaaa πππMbona hiyo tayari siku mingiii
Tena stock yangu imeisha, niletee basi nyingineπndimu kama kawaaa πππ
Hiyo utaipata snapchatπNataka muelekeo huuView attachment 2277409
Mrembooooooh, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Hizo za mchongo sizitakiHiyo utaipata snapchatπ